Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahaa... Ameshanisomesha hapo juu! Uzuri wa huyo Bwana mkubwa ni kwamba, yuko honest! Hana mambo ya kinafki, I salute him for that! [emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Asante mkuu. Unafiki ndo unatuponza wanadamu. Kama kitu unapenda si unasema tu. Hata vitu visivyo na madhara napo lazima kujificha ficha? Why?

Mimi ni katibu na kama unataka kuwa memba sema. Kuna kamoja kale kazuri karefu kenye kamsambw... kiaina kalikuvutia sana. Naweza kuwa nakuwekea vya hivyo ukitaka...
 
Back
Top Bottom