Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Aaah jamani ni maamuzi tu ya mtu, kila mtu anatafuta kwa namna yake.Mh! Nsamaka ni nani huyu unayemtafutia mke!? Ni domo zege hawezi kumwaga mtongozo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Carba wewe subiri dawa yako yaja hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Asante mkuu. Unafiki ndo unatuponza wanadamu. Kama kitu unapenda si unasema tu. Hata vitu visivyo na madhara napo lazima kujificha ficha? Why?
Mimi ni katibu na kama unataka kuwa memba sema. Kuna kamoja kale kazuri karefu kenye kamsambw... kiaina kalikuvutia sana. Naweza kuwa nakuwekea vya hivyo ukitaka...
Ni kweli shemeji. Unafiki siyo mzuri. Ndo maana nakupendaga mimi jamani!!!Kwanini ujivunge,maisha yenyewe mafupi haya na unafiki si mzuri