Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante mkuu! Ngoja nikuekue kwanza, niote meno yote halafu ning'oe yale ma wisdom teeth! Nina imani naweza kuwa mwanachama mzuri tu! [emoji3][emoji3]
Kama ni kawimbo, sasa ndiyo upo kwenye korasi. 20s ndiyo maximum ya testosterone. From there ni downhill mteja wa milonge. Wakati ndo huu wa kupambana wakati hata moyo uko salama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Jiunge please ....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…