Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
I am not a new member. Actually I am the Acting Secretary General of our association.Ooh, andjul, you got a brand new member! How many are you now? [emoji3][emoji3]
I am not a new member. Actually I am the Acting Secretary General of our association.Ooh, andjul, you got a brand new member! How many are you now? [emoji3][emoji3]
Natupia macho kichwa na nguo ili niige huko kwngine hapanihusu😀😀😀
Ndefu kama za gazetin
SawaSimulizi itaendelea baadaye, kwakuwa charge inazingua na vile sipo mahali nitakapoweza kucharge
Sent using Jamii Forums mobile app
True factDemokrasia Afrika (na popote pale duniani japo kwa viwango tofauti tofauti) ni pasua kichwa. Ni kinyume na hulka yetu ya binadamu ya kumiliki madaraka, kujipendelea, kutopingwa na kutaka kusifiwa na kuwa appreciated (Ndiyo maana tuko hapa macho mekunduuu tunasaka likes. Why? Justification. Sense of appreciation.)
Halafu unasikia mtu mishipa ya shingo imemtoka: Saudi Arabia hakuna demokrasia. Wanawake wananyanyaswa. Hakuna uchaguzi huru. Kama wenyewe wana amani na furaha, na ndivyo walivyoamua kuishi maisha yao, hiyo nayo si ndiyo demokrasia yao? Demokrasia ni nini?
Hahaha acha hizo,nimejaliwa ka face,msambwax nimekosa hahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unaweza ukauona msambwanda ukasema mh! Huyu kama Numbisa vilee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uwiiiiiii Wallahi !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver nakujurisha tu kuwa ISIS anaweza kusafiri na Mzee Kichwa kichafu kwenda kufungua tawi la wana jf (likes) huko Ntwara!
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Hamna buana jamani,mie andjul ananitosha hahahaha watu jamani