mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahaMie sina sifa moja ya chura na yy alisema chura ndio kigezo kikuu.
HahahaMie sina sifa moja ya chura na yy alisema chura ndio kigezo kikuu.
Asante mkuu..Pole sana Mkuu
HahahahahaKumi x kumi
19:3718:39
PamojaNtarud kumwaga likes
Nasikia umerobe interviewNipo jamani wala sijajipa umama viv.
Demokrasia Afrika (na popote pale duniani japo kwa viwango tofauti tofauti) ni pasua kichwa. Ni kinyume na hulka yetu ya binadamu ya kumiliki madaraka, kujipendelea, kutopingwa na kutaka kusifiwa na kuwa appreciated (Ndiyo maana tuko hapa macho mekunduuu tunasaka likes. Why? Justification. Sense of appreciation.)Halafu eti watu wanasifia kenya kuna democrasia what a joke!!
Tunaisubiri..Simulizi itaendelea baadaye, kwakuwa charge inazingua na vile sipo mahali nitakapoweza kucharge
Sent using Jamii Forums mobile app