Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu chenye ukubwa wa Florencekinaweza kuwa na athari ya kugonga dunia. Wanasayansi wanaamini kuwa sasa wamebaini zaidi ya 90% ya miamba ya aina hiyo ya kutisha inayopita angani karibu na sayari yetu.
 
paaambafffff.....[emoji23] [emoji23]
mkuu wameru unawajua ww

Sent using Jamii Forums mobile app
Calm down Sawee. Ni Wakenya huko wanataniana. Na kuna ubaya gani katika utani huo? Wameru wangekuwa wanataniwa kama Wasukuma na Wanyakyusa kwa moto huu si ungeua mtu? Mkuu, NIMEKUDHARAU SANA !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
10b058f567af435adc4441d19f8960ce.jpg
Kenya moja
 
Back
Top Bottom