ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
AMUN RA18:38
AMUN RA18:38
Watu wako macho na makabila yao kutaniwa. Halafu ni mwenzetu humu kwa muda mrefu. Sad !!!Uwiii
Leo hatimaye umeaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ntarud kumwaga likes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nsamaka
Lete matokeo ya intavyuu sasa....Nipo jamani wala sijajipa umama viv.
Anaondoka kama mshale anarudi kama risasiLeo hatimaye umeaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwache mkuu hajui utani ndio raha yenyewe...pia ndio burudani ya Uzi huuCalm down Sawee. Ni Wakenya huko wanataniana. Na kuna ubaya gani katika utani huo? Wameru wangekuwa wanataniwa kama Wasukuma na Wanyakyusa kwa moto huu si ungeua mtu? Mkuu, NIMEKUDHARAU SANA !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]