Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
HahahaaLeo hatimaye umeaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaaLeo hatimaye umeaga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahaJamani mwambieni Bob nimerudi.
HahahahahaNimefika salama kabisa
Ila umenisikitisha sana[emoji41]
Ina mana hata tangazo hujatoa?[emoji35]
Kazi imekushinda weye
Pole sana MkuuNafuu Leo..ila ndio vitu vya moto au baridi aa!! Vuguvugu tu basi
HahahahahaKuna sintofahamu inaendelea. Ngoja singo faza aje atoe ufafanuzi.