Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S093
88
Jamani mwambieni Bob nimerudi.Umetafutwa sana bageshi mpaka wamesema eti umetokomea na mafaili ya intavyuu kwa lengo la kujipa umama Viv wewe mwenyewe. Ilibidi mpaka Andjul aje kupambana. Afadhali umerudi. Weka mambo sawa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]