Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
S172
ndefuMCHAWI WA MAMBA NA MADALALI WA MAUTI Kama tulivyoona kuwa mzee Manyoya alikua anamiliki mamba watatu ambao ni BAKARI, mtishaji, HUSSEIN muuaji anayeacha mwili ukazikwe na HAMZA ambaye ni muuaji na ambaye anawapoteza mazima. wenyeji wa eneo hilo ambao ni wakulima wa mpunga, mahindi na mtama wanasema kuwa, wakati wa uhai wa mzee Manyoya waliishi kwa wasiwasi kumuogopa kumuogopa muuaji huyo. Kwakuwa aliamua kufanya uchawi wake kibiashara alikuwa na madalali wa mauti kila kijiji kwenye eneo hilo. wengine walijulikana na wengine hawakujulikana. INAENDELEA....
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mlete matokeo basi? Mama Viv ni nani? Wengine tuna spesho interesti kwenye hii ishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chapa kazi[emoji41]
Usisikilize maneno ya watu
HahahahahaHuu umekuwa Uzi wa kutisha na unafanyiwa majungu
AMUN RAAMUN RA
My princess how are youHey hawa yuu pipozi
Only msamb...will make me leave my house [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Miss u sanaJamani niliwamis sana.
My princessAbeee
Usikate tamaa, jaribu tu tutakufikiriaMwee nimekosa kwanza nna elimu darasa la nne,pili nasunta balaa so ka viv ntakafundisha michambo mpaka baba yake atakoma
Kupika sijui kabisaa
Umama wa kambo kazi mweee
Aiseee nina pasi ya nguvu kama tu dada twa kikorea uwiiii hahahaaa
AMUN RAAMUN RA
Tatizo wameleta weupe..sasa sisi tukazifanya siri...hupewi mpaka uaminike na mwenyewe! Na wenye kuzijua wanafanya siri..Waafrika yaani dah! Teknolojia tunayo. Mpaka tunavunja kanuni za aerodynamics na conservation of energy kwa kuruka na ungo lakini bado tuko nyuma. Tatizo liko wapi?
Thanks my loveRemain blessed!
Mzee wa kolomije muache nsamaka achape kaaaziii[emoji41]Si mlete matokeo basi? Mama Viv ni nani? Wengine tuna spesho interesti kwenye hii ishu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]