Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_1737.jpg
 
MFUMO NA MUUNDO WA MAMBA WA MANYOYA. Mashuhuda wanasema kuwa mzee Manyoya alisukumwa kutumia technologia hiyo ya kikatili kwa kuwa alikuwa ni mkatili, mwenye roho mbaya na mvivu. Mmoja wa Dalali wake anasema kuwa mamba wa mchawi huyo waliundwa kwa aina furani ya miti. Kipande cha mti kilichopasuliwa na kuwa mfumo wa kuni zilizochanjwa na zikafungwa pamoja. zina urefu wa nchi moja na nusu na upana wa kidole cha kati. kila mamba mmoja alikuwa na ukubwa huo kabla hakijatupiwa ndani ya maji. kinapotupwa majini kinaibuka na kuwa mamba mkubwa mwenye uwezo kuua kwa kasi. Vimti hivyo hutegewa mlengwa kando ya mto mahali ambapo anadhaniwa lazima atagusa maji. kitakaa hapo hata kwa miezi mpaka kinase windo lake
Waafrika yaani dah! Teknolojia tunayo. Mpaka tunavunja kanuni za aerodynamics na conservation of energy kwa kuruka na ungo lakini bado tuko nyuma. Tatizo liko wapi?
 
Back
Top Bottom