Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini Mhispania huyo aliamua kwenda Spurs badala yake na kuwa mchezaji wa tano kusajiliwa na klabu hiyo katika dirisha la usajili lililofungwa usiku wa kuamkia leo.
Llorente alijiunga na Swansea Agosti 2016 na kufunga mabao 15 na kusaidia klabu hiyo kukwepa kushushwa daraja msimu uliopita.
 
Mchezaji huyo wa kimo cha futi 6 inchi 4 alikaa misimu tisa Athletic Bilbao, kabla ya kwenda Juventus na kukaa miaka miwili ambapo alishinda mataji mengi na kisha akakaa mwaka mmoja Sevilla.
Amefungia timu ya taifa ya Uhispania mabao saba katika mechi 24 na alishinda Kombe la Dunia mwaka 2010.
Ndiye wa tano kununuliwa na Spurs na alisajiliwa baada ya Serge Aurier kujiunga nao kutoka Paris St-Germain kwa £23m mapema Alhamisi.
 
Jamani tangazo la kuwa mama viv. Napenda kuwatangazia kuwa ndg yetu mpendwa wetu na kaka yetu Bob ananitahi mke aka mama viv.

Sifa za mhusika
Kwanza ajue kupika
Ajue kulea na awe na mapenzi na mtoto.
Asiwe mchoyo wala mchafu.
Elimu ngazi ya diploma.
Chura muhimu yaan msambwanda.

Maombi yote yatumwe kwangu mm nsamaka. Na mwisho wa kupokea maombi ni kesho tarehe 03/09/2017 saa nane mchana.
Watakaokidhi vigezo watafanyiwa usaili kesho saa 12 hadi saa moja. Na matokeo yatatoka tarehe 04 Sept 2017 saa kumi alfajiri
 
Mwee nimekosa kwanza nna elimu darasa la nne,pili nasunta balaa so ka viv ntakafundisha michambo mpaka baba yake atakoma
Kupika sijui kabisaa
Umama wa kambo kazi mweee
Aiseee nina pasi ya nguvu kama tu dada twa kikorea uwiiii hahahaaa
Jamani tangazo la kuwa mama viv. Napenda kuwatangazia kuwa ndg yetu mpendwa wetu na kaka yetu Bob ananitahi mke aka mama viv.

Sifa za mhusika
Kwanza ajue kupika
Ajue kulea na awe na mapenzi na mtoto.
Asiwe mchoyo wala mchafu.
Elimu ngazi ya diploma.
Chura muhimu yaan msambwanda.

Maombi yote yatumwe kwangu mm nsamaka. Na mwisho wa kupokea maombi ni kesho tarehe 03/09/2017 saa nane mchana.
Watakaokidhi vigezo watafanyiwa usaili kesho saa 12 hadi saa moja. Na matokeo yatatoka tarehe 04 Sept 2017 saa kumi alfajiri
 
IMG_1735.jpg
 
Back
Top Bottom