Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MCHAWI WA MAMBA NA MADALALI WA MAUTI Kama tulivyoona kuwa mzee Manyoya alikua anamiliki mamba watatu ambao ni BAKARI, mtishaji, HUSSEIN muuaji anayeacha mwili ukazikwe na HAMZA ambaye ni muuaji na ambaye anawapoteza mazima. wenyeji wa eneo hilo ambao ni wakulima wa mpunga, mahindi na mtama wanasema kuwa, wakati wa uhai wa mzee Manyoya waliishi kwa wasiwasi kumuogopa kumuogopa muuaji huyo. Kwakuwa aliamua kufanya uchawi wake kibiashara alikuwa na madalali wa mauti kila kijiji kwenye eneo hilo. wengine walijulikana na wengine hawakujulikana. INAENDELEA....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom