Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

8a99c82789a91b20048dc11dd93b0df9.jpg

Na SiAcHi HaDi Consuela anishauri niiache[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji379] [emoji379] [emoji379] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari toka kwa mashuhuda zinasema kwamba mzee Manyoya alimiliki mamba 3. 1.BAKARI Huyu alikuwa mamba wa vitisho, anakukamata, anakupa vibao, kisha anakutupa nje ya mto. 2.HUSEIN Mamba huyu alikuwa anakamata kisha anaua. lakini anabakisha mwili wa marehemu ili ukazikwe na wana ndugu. 3.HAMZA. Mamba huyu alikuwa na sifa nyingi. kukuvamia hata ukiwa kando ya mto, ikiwa kivuli chako kimegusa maji, anakuua na kukupoteza kabisa. Wenyeji wanasema "watu walioshambuliwa na HAMZA hawakuonekana tena" itaendelea....... Cc numbisa, cc mzee wa liver, cc myoyambendi, cc Cole Wiliam, cc carbamazapine
Yap pamoja nakusubiria
 
Back
Top Bottom