Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e9d5f581a1696a55a43be156d42cdcdd.jpg
Hahahahaha true
 
Sasa yego kamwili kenyeze ka kabetina naenda gym kufanya nini??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hahaaa, umenikumbusha Betina! Yaani siku hizi heart attack na stroke hazichagui miili ya watu, very strange! Nenda gym bana, hiyo ya kwenye six by six zoezi linakuwa ni kwa baadhi tu ya viungo, siyo mwili mzima! [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom