Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Ndio naendaaaaaaKwendaaaaa[emoji57][emoji57]
Halafu mbona siku hizi waonekana mida hii?carbamazepine ndicho nilikuwa nawaza nitype nisepe ndio nakuona
Watakuja wana uadui na usingizi
Carba, ni wewe? Kuna mawili: ama usingizi umegoma kidogo au safari ya msalani...na hata show ya kibabe probably. Uzi pendwa huu. Rudi kalale shemeji....Napita tu
Njoo basi mbona hivyo lakiniLione[emoji57][emoji57]
Kimbia tena,wahi wachelewa et[emoji3] [emoji3]Ndio naendaaaaaa
Mimi hapaJina lina swaggz hilo.
Hebu njoo basi nikuone hata sura mi nisepe humu we dogo.
Achana na mimi naondoka [emoji19] [emoji19]Kimbia tena,wahi wachelewa et[emoji3] [emoji3]
Mimi hapaaaNjoo basi mbona hivyo lakini
Red tide. Samaki huwa wanakufa, maji yananuka na inabidi wafunge beach...