Sir Isack Newton sijui alifikiria nini kuanzisha hii kitu. Ni majanga!Calculas
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] bibie hataki kutuambiaBado na wait maana ya AMUN RA
Fili eti homu.Warmly welcome
Leo tumebanwa wengiRebekah...ewala napokea! Leo majukumu mengi kidogo!
Hahahaha nipo nipo mkuuWapi Kichwa Kichafu aka Kichwa Kisafi
Nachakata like akili zangu nazijua mwenyeweMi notifications sipati ila nagawa likes kama sina akili mzuri!
Bado na wait maana ya AMUN RA
Nipo hapa mkuu....pokea like kuubwaaaa kabisaWapi ellymckoye
Makaburu wako salama. Nadhani!Ubaguzi haujawahi kumuacha mtu salama
Keep maneno yangu.Ubaguzi haujawahi kumuacha mtu salama
Nakisheria pia.Hapana mkuu like ni haki yako kikatiba