Kweli MkuuAu Kikosi Jihadi.
Tuchukulie mfano wa hivi Karibuni.
Angalia Kikosi cha LEICESTER kilichotwaa Ubingwa Msimu wa 2015-2016.
Kikosi chao kilikuwa cha kawaida sana, lakini angalia Maajabu waliyoyafanya.
Mwanzoni, mpaka kati kati ya Msimu hakuna alietegemea kama LEICESTER wangetwaa Ubingwa