Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Yego kutiki
Kutiki chikaka!
Yego kutiki
Yap maana mida yako hile nakuwa nimelalaSafi sana Kiongozi.
Hatimae tumegongana
Ni kweli ni Mwl mzuri na historia yake inaonyesha hivyoKlopp ni Mwalimu Mzuri sana.
Na lengo lake ni kujenga Kikosi.
Na ili Kikosi kijengeke, unahitaji kuwa na Wanachezaji wako kwa Muda kiasi fulani.
Haya mambo ya kuwa na Wachezaji wapya kila siku, hakujengi Kikosi.
Klopp lengo lake ni zuri sana.
Mafanikio yataonekana Anfield
Pai mwana wasuKutiki chikaka!
Good morning mkuu lete story yetu pendwa
Good morning moud
Au Kikosi Jihadi.Ni kweli ni Mwl mzuri na historia yake inaonyesha hivyo
Lakini bado hili uchukue EPL title lazima uwe na kikosi kipana