Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkoa wa pwani kukumbwa na upepo mkali
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetoa tahadhari ya kuwepo kwa upepo mkali na mawimbi katika maeneo ya ukanda wa Pwani.
Kwa mujibu wa taarifa TMA inasema kuanzia leo (Jumamosi) hadi Septemba 5 mwaka huu kutakuwa na upepo mkali unaozidi kasi ya kilometa 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2.0.
Maeneo yanayotarajiwa kuathirika ni mikoa ya Mtwara, Lindi, Pwani, Dar es Salaam, Tanga pamoja na Visiwa vya Unguja na Pemba.
Mifumo ya hali ya hewa inaonyesha kuwa msukumo wa upepo wa Kusi mashariki unatokana na kuimarika kwa mgandamizo mkubwa wa hewa katika ukanda wa Pwani ya Tanzania.
Mwananchi:
 
IMG_1758.jpg
 
Lakini naona huyu mbarazili alikuwa ana hamu sana ya kuondoka liver lakini klop aligoma kabisa kumuachia
Klopp ni Mwalimu Mzuri sana.

Na lengo lake ni kujenga Kikosi.

Na ili Kikosi kijengeke, unahitaji kuwa na Wanachezaji wako kwa Muda kiasi fulani.

Haya mambo ya kuwa na Wachezaji wapya kila siku, hakujengi Kikosi.

Klopp lengo lake ni zuri sana.

Mafanikio yataonekana Anfield
 
Back
Top Bottom