Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

WINGI WA MAMBA WA SELOUS HAUWASUMBUI WANAKIJIJI. Kama tulivyoona huko nyuma kuwa pori la akiba la Selous lina hazina kubwa ya mamba, swali lilikuwa ni vipi wakazi wa vijiji husika waelekeze mawazo yao kwenye ulozi ili hali mto Ruvu wanaotumia unazalisha mamba wengi bondeni. mzee mmoja ayetambulika kwa jina Ali (kwa sasa ni marehemu) ambaye alikuwa mkazi wa kijiji alichoishi Manyoya anajibu. "Mamba halisi wa mto siyo tishio kwa wananchi" anasema mamba hao ni waoga wawaonapo watu hasa wakiwa kwenye maeneo ya vijiji. Anasema, tangu zamani mto huo ulikuwa na mamba hao na ingawa ni kweli walishambulia wanakiji lakini haikuwa kama ilivyo sasa . mzee Ali anasema hata yeye haamini sana imani za kichawi lakini kwa yale yanayosemwa kijijini hapo dhidi ya mtu huyo (Manyoya) ni kweli na yana ushahidi. Mzee Ali anasema mchawi Manyoya alikuwa mvivu wa kilimo hivyo alitumia uchawi kuua na kutisha kujipatia rizki. Mmoja wa wale waliodhaniwa kuwa wakala Manyoya anasema miaka ya mwanzoni mwa 1990 mzee huyo alitoza sh 4,000-7000 kuua kwa mamba, baadaye mpaka mauti yalipomfika bw Manyoya 2009 dau lilikuwa ni sh 15,000 mpaka 20,000.wakala huyo au Dalali wa mauti kama wenyeji walivyowaita anasema sababu iliyowapelekea baadhi ya watu kupata huduma ya Manyoya ni visa vilivyotokana na wivu wa kimapenzi na ugomvi wa mashamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Yap mkuu nakupata
 
Nimekumbuka. Study ya siku moja ndiyo ilinitoa kutoka kwenye ushilawadu mpaka ujiniazi. Watu tumetoka mbali kwenye uzi huu nyie acheni tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niliifadhi hile kumbukumbu ulifanya Kazi ya ziada sana
 
FB_IMG_1504409628834.jpg
 
Back
Top Bottom