Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Lete mamboMCHAWI MANYOYA, JE wajua kifo chake kimesababishwa na nini?, je alizikwa kwa kufuata imani ya dini gani? je wajua kuwa mchawi Manyoya maiti yake limefukuliwa na kutupwa mtoni iliwe na mamba? FUATILIA KISA HIKI MPAKA MWISHO
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuuMkuu leo salama..kwako je
Jumapili inayoyomaMkuu leo salama..kwako je
AMUN RAAMUN RA
Nyuki Bomu unalo[emoji41] [emoji41] [emoji41]Hata hivyo usitbubutu kuingia kwenye vita yangu na Andjul ya kumgombea nsamaka. Nimejipanga kutumia kila aina ya silaha mpaka nimchukue mrembo wa kisukuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Read Hebrews 12:16-17
HahahahahaHahahaha