chukua nawe hiyo mkuuNipo hapa kwa kazi moja tu ya kutoa likes
Nilipokua shule nlikua nagombea nafasi fulan sasa utawala uliokua unaondoka ulikua ushamuandaa MTU wao wakitegemea watamuachia madaraka ila ngoma ikawa ndivyo sivyo nikashinda kwa kishindooooo hapo wakaanza kuniita mtata wakaona hainogi wakaongeza buzitata wakimaanisha MTU aliyeshindikana coz sikutoa hela wala nini na bado people zikanimwagia kura za kutoshaTuelezee umelipata wapi hilo jina.
Kula like
wa afya mkuu hofu kwakoWazima nyie
hatujambp..kamat yako mapemaHamjmbo
jazia hiyo mkuuPokea like mama.....nipo hapa hapa
Hahhaah mkuu umetishaNilipokua shule nlikua nagombea nafasi fulan sasa utawala uliokua unaondoka ulikua ushamuandaa MTU wao wakitegemea watamuachia madaraka ila ngoma ikawa ndivyo sivyo nikashinda kwa kishindooooo hapo wakaanza kuniita mtata wakaona hainogi wakaongeza buzitata wakimaanisha MTU aliyeshindikana coz sikutoa hela wala nini na bado people zikanimwagia kura za kutosha
mambo tu yaliban mkuu...vp uko poa lakini??Long time no see where were you
Pole sana pokea likes hata kama hutaki...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]SITAKI MTU ALIKE COMMENT YANGU