uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Akitokea atakuwa mwanga huyoHivi kuna mtu hajapokea notifications za likes kutoka kwangu??? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Akitokea atakuwa mwanga huyoHivi kuna mtu hajapokea notifications za likes kutoka kwangu??? [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilipokua shule nlikua nagombea nafasi fulan sasa utawala uliokua unaondoka ulikua ushamuandaa MTU wao wakitegemea watamuachia madaraka ila ngoma ikawa ndivyo sivyo nikashinda kwa kishindooooo hapo wakaanza kuniita mtata wakaona hainogi wakaongeza buzitata wakimaanisha MTU aliyeshindikana coz sikutoa hela wala nini na bado people zikanimwagia kura za kutosha
yaleeeeMambo yetu yaleeeeeee
Nani kakuambia usome nyuzi nyingine? Wewe like tu hapaMazoea mabaya nimeenda nyuzi zingine kila nikisoma post najikuta nataka kulike hats zisizo....
inshaallahPole sana Mkuu. Mungu ampe uponyaji wa haraka.
Chukua like...Mambo yetu yaleeeeeee
It's all good in here na kuongeza uwepo wako i feel that energy growmambo tu yaliban mkuu...vp uko poa lakini??
Umelipata jibu siobuzitata hii ID hadi naogopa kuisoma[emoji125] [emoji125] et buzitata sijui uliwaza nini mkuu
buzitata hii ID hadi naogopa kuisoma[emoji125] [emoji125] et buzitata sijui uliwaza nini mkuu
Pole mkuu,mungu amponye mwanao...... Ukomo wa uumbaji huishia mwisho wa uhai wa kiumbe. Ndo maana ya usemi hujafa hujaumbika. Mwanangu kavunjika mkono. Its bad day to my family although I thank God for everything.
kamat hiyo kwanzaIt's all good in here na kuongeza uwepo wako i feel that energy grow
Maelezo ntasoma kesho ila kula like kwanzaNilipokua shule nlikua nagombea nafasi fulan sasa utawala uliokua unaondoka ulikua ushamuandaa MTU wao wakitegemea watamuachia madaraka ila ngoma ikawa ndivyo sivyo nikashinda kwa kishindooooo hapo wakaanza kuniita mtata wakaona hainogi wakaongeza buzitata wakimaanisha MTU aliyeshindikana coz sikutoa hela wala nini na bado people zikanimwagia kura za kutosha
sante sana..kula like kwanza
Chukua like yako bhana[emoji106]Na utazidi kuwa maarufu
Mimi unapoishia ndo naanzia. Shwari lakini mkuu?Am in love with this thread