ndio mim mnyiramba
kula like mkuu... achana na habar za nini we kula tukwan like za nn hasaa yaaan mkuu
hahaaaa sio wote mie mtiifi sana mkuu[emoji18] [emoji18]
NIMEOA MNYIRAMBA. KW NINI NYIE WAKE WA KINYIRAMBA WAKOROFI ? MNASEMA "NKOE MPAKUMBULAGE". NAKARIBIA KUMBEBESHA VIRAGO DADAKO
radio tanzania dar es salaam ...naona umesahau D mkuu ..ila kula like
Wewe maswali mengi ya nini pokea likes tuuuBAADAE HIZO LIKES ZINAGEUKA BITCOIN AU TUTAZITOA KWA MPESA NINI??!!!
Haya kula like halaf endelea kunimisinilikumisi kamata yako mapema
hahaaaa sio wote mie mtiifi sana mkuu[emoji18] [emoji18]
wanyiramba bhana kwa kupenda like haya hiyolike please
au ukorofi unatokan na nini?? sie hatupendi kuchanganywa hovyo haswa akili kisa mapenz....pia tukipenda tunaingia wazima sasa km ww umekuja nusunusu tatizo...maamuzi yetu ni magumu tunapoingiliwa huwa linakuja tatizo hapo...au kunako 6*6 hutendi haki?? pia hasira nadhani inachangia je ana yepi kati ya hayo??
NIMEOA MNYIRAMBA. KW NINI NYIE WAKE WA KINYIRAMBA WAKOROFI ? MNASEMA "NKOE MPAKUMBULAGE". NAKARIBIA KUMBEBESHA VIRAGO DADAKO
km kawa kula hiyowanyiramba bhana kwa kupenda like haya hiyo
kula likeau ukorofi unatokan na nini?? sie hatupendi kuchanganywa hovyo haswa akili kisa mapenz....pia tukipenda tunaingia wazima sasa km ww umekuja nusunusu tatizo...maamuzi yetu ni magumu tunapoingiliwa huwa linakuja tatizo hapo...au kunako 6*6 hutendi haki?? pia hasira nadhani inachangia je ana yepi kati ya hayo??
Haya kula like yakoMaelezo ntasoma kesho ila kula like kwanza