Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Half cake:- 5 unga (self raising flour) 1 sukari kikombe Nusu kikombe mafuta Hiliki 2 vijoko vikubwa rob 1 kijiko kikubwa vinegar 4 mayai 1/2 maji 2 vijiko vikubwa maziwa ya unga 2 vijiko vikubwa nazi ya powder Kanda half paka mafuta ufunike kidogo tayarisha mafuta ya kuchome kata madonge sukuma kidogo tu kata na kuchoma... Usitie mwngi mengi wakati unachoma sbb yanavimba.
Umerudi mwana mama wa mahanjumati. Nikisoma post zako napata shibe. Post zako za vyakula tu zinatosha kunipatia shibe ya siku nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom