andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Na yeye ni jambazi alitangulizwa kunidhibiti kistaarabu. Kifuatacho ni kumuitia mwizi ili raia washughulike nae... Labda awe na msambwanda nitamuonea huruma kidooogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Katibu wangu hawa yuuu
Sent using Jamii Forums mobile app