Na yeye ni jambazi alitangulizwa kunidhibiti kistaarabu. Kifuatacho ni kumuitia mwizi ili raia washughulike nae... Labda awe na msambwanda nitamuonea huruma kidooogo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Katibu wangu hawa yuuu
Ndiyo kiongozi hakuna jinsi
Mtaalam wa kinanda wa Tuncat Almasi "Kinye Kinye Kisonzo" na Washirika Tanzania Star band "Wakunjatanjata"Abdul Salvador father kidevu
Nini tena
Kabisa mkuu