Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumtag tena Mchina au Singo faza naye atest zali kidogo?
ee10f85f2b5e5a7adff7bf0585bb49af.jpg
Hahahahaha mchina
 
Hata nawe hutaki kutoa siru ya hii code. Nilishakuuliza zaidi ya mara nne. Mbona mnabania maarifa hivi jamani?
Andika alfabeti A-Z halafu zipe # 1 mpaka 26 respectively then uwe unaandika chochote kupitia hizo namba mfano
B-2
O-15
B-2
So instead ya Bob naandika 2152
Instead ya viv naandika 22922
V-22
I-9
V-22
 
Back
Top Bottom