Kwa kuanza basi unatakiwa kudownload App ya Framaroot Hapa kisha install moja kwa moja kwenye simu yako, baada ya hapo fungua App hiyo kisha chagua Superuser au SuperSU. Kisha endelea mbele kwa kuchagua Boromir, baada ya hapo kama umefuata hatua zote utaona meseji ikitokea inayo kwambia umefanikiwa ku-root simu yako, kama umefika hapo usiwe na haraka bali kinachofuata unatakiwa ku-restart simu yako fanya hivyo kisha kwa kubofya OK.