Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa kuanza basi unatakiwa kudownload App ya Framaroot Hapa kisha install moja kwa moja kwenye simu yako, baada ya hapo fungua App hiyo kisha chagua Superuser au SuperSU. Kisha endelea mbele kwa kuchagua Boromir, baada ya hapo kama umefuata hatua zote utaona meseji ikitokea inayo kwambia umefanikiwa ku-root simu yako, kama umefika hapo usiwe na haraka bali kinachofuata unatakiwa ku-restart simu yako fanya hivyo kisha kwa kubofya OK.
 
Baada ya kufanya hivyo utakuwa umefanikiwa kuroot simu yako ya Tecno bila kutumia kompyuta, njia hii imeonekana kusaidia watu wengi sana wenye simu za tecno hivyo natumaini hata wewe itakusaidia.
 
wa njia tofauti za kuficha baadhi ya vitu kwenye simu yako ya mkononi maarufu kama smartphone, lakini na hakika lazima hii itakuwa ni mara yako ya kwanza kujifunza njia hii mpya ya kuficha mafaili kwenye simu yako kwa kutumia sehemu ya Calculator au kwa lugha ya kwetu kikokotozi kwenye simu yako ya mkononi.
 
Hivyo basi kwa kufuata maelezo haya mafupi utaweza kukamilisha na kuficha mafaili kwa kutumia kikokotozi kwenye simu yako mkononi lakini kumbuka kabla ya kuanza unatakiwa kuwa na simu yenye mfumo wa android, pia hakikisha una bandle au kifurushi cha data angalau MB50 na kuendelea, vilevile hakikisha una uwezo wa kuingia kwenye soko maarufu la Android yaani Google Play Store.
 
Kama unayo mahitaji hayo yote basi endelea kwa kufuata hatua hizi. Ingia kwenye soko la Play Store kisha download app inayo-itwa Calculator Vault Gallery Lock link inapatikana hapo chini unaweza kubofya hapo na utapelekwa moja kwa moja kwenye soko la Play Store ili kudownload app hiyo.
 
Baada ya hapo hatua ya kwanza baada ya kufungua app hiyo utaambiwa utengeneze namba ya neno la siri ambalo ndilo utakalo kuwa unatumia kufungua mafaili uliyo yaficha kwa kutumia app hiyo ya Calculator Vault Gallery Lock hivyo ni muhimu kukumbuka namba hiyo ni muhimu sana. Kisha hatua inayofuata unatakiwa kuandika swali na jibu lake ambalo swali hili ndilo utakalo kuwa unaulizwa pale ambapo utakuwa umesahau password au namba yako ya siri hivyo hatua hii pia ni muhimu sana kukumbuka na kama unaona utasahau ni vyema kuandika jibu la swali hilo pembeni.
 
9. Google Fit – Fitness Tracking


Google Fit - Fitness Tracking
Price: Free
App hii inasaidia sana kwenye swala zima la kuangalia ni kiasi gani umetembea au muekimbia au kama unataka kukumbushwa kila wakati wa kufanya mazoezi unapofika au wakati wa kunywa maji basi app hii ni bora sana na ina mambo mengi sana ambayo yanaweza kukusaidia afya yako kuwa bora kwa kutumia simu yako ya mkononi.
 
8. Pharmacy – Generic Medicines


Pharmacy - Generic Medicines
Price: Free
App hii ni bora sana hasa kwenye swala zima la dawa, kwa kutumia app hii utaweza kujua mambo mbalimbali kuhusu dawa kabla hauja amua kununua dawa hizo. App hii inauwezo wa kukupa habari kuhusu dawa yoyote huku ikikuonyesha na mathara ya dawa hiyo au kwa kitaalamu Side Effect, kifupi ni kwamba app hii ni bora sana kuwa nayo ili kujua vizuri kuhusu dawa tunazotumia kila siku.
 
7. Home Remedies+ : Natural Cures


Home Remedies+ : Natural Cures
Price: Free
Kwa wale wanaopenda kujitibu kwa kutumia tiba za asili basi app hi ni bora sana, app hii inauwezo wa kukupa maelekezo ya kufanya tiba za asili ambazo zinaweza kukusaidia kutibu magonjwa mbalimbali kwa haraka, yote hayo unaweza kuyapata kupitia simu yako ya mkononi.
 
6. Disorder & Diseases Dictionary


Disorder & Diseases Dictionary
Price: Free+
Ukweli ni kwamba app hi ni muhimu sana kuwa nayo kwenye simu yako kwani app hii itakusaidia kujua dalili mbalimbali moja kwa moja kwenye simu yako, kama unataka kujua kuhusu chochote ambacho kimekua kikikusumbua kwa muda mrefu basi app hii inaweza kukusaidia sana kutambua dalili hizo.
 
5. Period Tracker, My Calendar


Period Tracker - Period Calendar Ovulation Tracker
Price: Free
App hii ni moja kati ya app ambazo zinatumiwa sana na wadada wengi sana ili kujua tarehe za mwezi au hedhi, app hii inasaidia watu wengi sana na sidhani kama kuna mdada ambaye hana app hii, kama huna basi download sasa uweze kujua kuhusu siku zako za hatari.
 
4. WebMD Baby


WebMD Baby
Price: Free
App hii ni moja kati ya app tano bora kwenye list hii, app hii ni muhimu sana kwani itakusaidia wewe kama baba au mama au kama unatarajiwa kuwa hivyo hivi karibuni. App hii itakusai kujua mabo muhimu kama vile jinsi ya kufunga nepi, ni chakula gani kinaitajika kwa mtoto wa umri gani, kujua ni muda gani mtoto anastaili kulala au chakula gani anatakiwa kula na mengine mengi.
 
3. Medscape


Medscape
Price: Free
Medscape ni moja kati ya app ambazo ni bora sana, app hii inaweza kusaidia watu wenye taaluma mbalimbali ikiwa pamoja na watumiaji wa kawaida. App hii inauwezo wa kusaidia watu wanaojifunza udakitari ikiwa pamoja na madaktari pia app hii inaweza kuwasaidia watu wa kawaida au wagonjwa kwa kujua dalili za magonjwa pamoja na tiba ambazo zitaweza kukusaidia. kifupi app hii ni bora sana na inasaidia sana hivyo nakushauri ni vyema kuwa nayo kwenye simu yako.
 
2. WebMD for Android


WebMD for Android
Price: Free
Hii ni moja kati ya app ambazo ni bora sana yani sana, app hii itakusaidia kujua kuhusu magonjwa mbalimbali kwa kugusa sehemu inayo uma kwenye wa mtu ulioko kwenye app hiyo yaani kama unaumwa kichwa kwenye app hii kuna picha ya mtu hapo utagusa kichwa na utaulizwa mambo kuhusu kichwa chako kama kinauma au vipi. Mwisho ni kwamba aoo hii ni moja kati ya app bora sana na nakushauri kama bado huna app hi basi download sasa.
 
1. Your.MD: Health Care Assistant


Your.MD: Health Care Assistant
Price: Free
Mwisho kabisa kwenye namba moja ni app hii ya YourMD app hii ni moja kati ya app bora sana kwani utahisi kama unaongea na daktari kwani app hii inakupa nafasi ya kuchat na app hii ili kuweza kujua matatizo yako mbalimbali, kwa mfano kama unataka kujua dalili za ktu flani unaweza kuuliza app hii kwa kuandika dalili ulizo nazo na app hii itakuuliza maswali ambayo kutokana na majibu yako basi app hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…