Duu , jamaa kiboko. Nimeamini usicheze na lugha za watu*Hivi hii tabia ya makonda wakikuona umekaa na mdada wanakuuliza "nikate ya wawili?"waliitoa wapi[emoji2][emoji2][emoji54]kutiana majaribuni huku, makonda bana ndio maana hamna vyeti na mnaaminiwa na boss...[emoji2]*
iPhone 7 /A1786)