Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Hivi hii tabia ya makonda wakikuona umekaa na mdada wanakuuliza "nikate ya wawili?"waliitoa wapi[emoji2][emoji2][emoji54]kutiana majaribuni huku, makonda bana ndio maana hamna vyeti na mnaaminiwa na boss...[emoji2]*

iPhone 7 /A1786)
Duu , jamaa kiboko. Nimeamini usicheze na lugha za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…