Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama unatafuta laptop ya kununua ni vyema ukajifunza kwanza namna ya kujua laptop gani ya kununua kisha ukisha jua vitu vya kuzingatia itakua ni rahisi kuchagua laptop ambayo ingekufaa kati ya laptop hizi kumi bora ambazo zitafaa sana kwa matumizi mbalimbali kwa mwaka 2016.
 
Dell XPS 13 ni laptop ya kisasa ambayo pengine ni laptop nyembamba kuliko laptop nyingine kwenye hii list laptop hii ina kioo kizuri chenye inch 13 pamoja na fremu ya inch 12 pia laptop hii ina uwezo wa hali ya juu sana kwani ina processor ya 6th Generation Core processor pamoja na hard disk ya SSD. Kwa upande wa chaji laptop hii inakaa na chaji kwa hadi masaa 12 ikiwa ilichajiwa ikajaa kabisa kingine kikubwa ni kwamba laptop hii ni nyepesi sana pengine ni kuliko bei yake.
 
Kwa wale tunao penda vitu vizuri vya bei nafuu laptop hii ya Lenovo Ideapad 100S ndio laptop ya kununua kwani pamoja na kwamba inauzwa bei rahisi sana lakini sifa za laptop hii hazifanani na bei yake kabsa, laptop hii ina inch 16 ikiwa inakuja na Window 10 pamoja na kioo bora angavu ambacho kinaifanya laptop hii kuwa bora kabisa. Laptop hii inauwezo wa kukaa na chaji masaa 9 ikiwa imechajiwa ikajaa pia inakuja na ofa ya Window Office 365 Personal.
 
Asus F555LA ni laptop ambayo inakuja na kioo angavu chenye uwezo wa 1080p pamoja na sauti nzuri ambayo hufanya laptop hii kuwa bora kabisa pia laptop hii ina 4GB za RAM pamoja na Processor ya Intel Core i3 ikiwa ni bora kwa kufanya kazi zako za kila siku.
 
Ikiwa ni laptop inayokaa na chaji pengine kuliko laptop hizi zote Lenovo X260 ina uwezo wa kukaa na chaji kwa karibia masaa 17 ikiwa imechajiwa ikajaa pia laptop hii ya 12.5-inch ni laptop bora kwaajili ya wafanya biashara pia ni ndogo na inauwezo wa kuingia na kutoshea kwenye mabegi ya aina mbalimbali.
 
Pamoja na kwamba laptop mpya ya 12-inch Apple MacBook imetengenezwa kwa dizain nzuri lakini bado Apple MacBook Air (13 inch) ni laptop bora kabisa, ikiwa imetengenezwa na kava la aluminium yenye uzito wa pound 3 laptop hii ya Apple ni laptop yenye uwezo mkubwa kama watu wengi wanavyojua. Pia Laptop hii inauwezo wa kukaa na chaji zaidi ya masaa 14 ikiwa na uwezo mkubwa pamoja na kioo chenye uwezo mkubwa.
 
Ikiwa ina uwezo wa kukaa na chaji kwa masaa 13 ikiwa imechajiwa ikajaa laptop hii ya Lenovo ThinkPad T460 ni moja kati ya laptop ngumu za mwaka huu ikiwa na kioo cha inch 14 laptop hii imepita kwenye majaribio mbalimbali ikiwa kama yale ya Vibration test, Shock test pamoja na Extreme temperatures kwa hiyo kwa wale wanaotafuta laptop ngumu za kazi hii ndio laptop ya kununa.
 
Back
Top Bottom