MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU BUSH MAN ALIYECHEZA MUVI YA the gods must be crazy__kutokana na ushamba alipopewa malipo ya kwanza kwa kucheza muvi alizitupa fedha KWA kudhani ni uchafu
FILAMU ALIZOCHEZA NI PAMOJA NA The Gods Must Be Crazy KAMA (Bushman) au Xixo.[2][3]
Nchini MWAKE NAMIBIA ANAFAHAMIKA KAMA mwigizaji maarufu kuliko yeyote
KUNA MAMBO 10 usiyoyafahamu vizuri kuhusu huyu Mtu
1:Japo kwenye muvi alicheza kama bushman_ila ni kweli kabisa kuwa alikuwa bushman_mtu mshamba asiyejua umjini na mpaka anacheza muvi ya kwanza alikuwa hajaona mtu mweupe anayevaa nguo
2:Hakujua umri wake sahihi
3:Hakujua thamani ya hela na inasemekana hata malipo aliyolipwa baada ya muvi ya kwanza alizitupa akidhani ni uchafu tu na zikaenda na upepo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.