Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aisee zile fujo zake nikajua ni mkakaEeee ni mdada, amekiri kwa vidole vyake mwenyewe juzi.
Aisee zile fujo zake nikajua ni mkakaEeee ni mdada, amekiri kwa vidole vyake mwenyewe juzi.
Nipo kwenye sherehe mkuuLeo hulali
Ni kweli,kwa majibu ya jeuri utadhani njemba fulani hivi. Ila alijieleza vizuri sana juzi kwanini ni hard core hasa kwenye nyuzi za kule.Aisee zile fujo zake nikajua ni mkaka
Sherekea kwa umakiniNipo kwenye sherehe mkuu
Umeamka sasaYes my dear, nilikuwa nimesinzia nikasikia unaniita