ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Hata kulala na sidiria inaminya mirija iliyomo kwenye matiti na inaweza kuchangia kansa. Usiku yaacheni tu yawe huru. Na kulala uchi kabisa nako kumethibitishwa kusaidia kupunguza presha...Uasili wa mtu (ethnicity): Saratani ya matiti hutokea zaidi kwa wanawake Wazungu kuliko wanawake wa Kiafrika au wenye asili ya Afrika (weusi).
Uzazi: Wanawake ambao hawajazaa au kunyonyesha wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani ya matiti. Wanawake wanaopata ujauzito kwa mara ya kwanza baada ya miaka 30 nao pia wapo kwenye hatari kubwa ya kupata saratani hii.
Kumi na nane [emoji6] [emoji6] [emoji6]Kumi nasaba