za chembe
JF-Expert Member
- Jul 22, 2017
- 1,064
- 4,094
Aisee. Hajui kuwa mteja ni mfalme? But again, customer service bado ni tatizo karibu kila mahali. Mteja unakuwa treated kama aduiMkuu kama una hasira hauwezi kununua kababu zake. Anauza kwenye mabasi, anapandia Uyole anashuka Makambako.
"bei yake ni shilingi elfu mbili,nikikupita siitaki hela yako,sitaki maswali kama hautaki acha, siwezi kukubembeleza wakati njaa ni yako"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee shuaaiini kabisa huyo
Kajubi...Riwaya yake nimeisahau