maringeni
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 3,196
- 3,901
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]heeeheeee
lathima aende akale kishukurii na kiombo na thamaki waliokaushwa miethi thita toka thiwa jipe japo ni watamu😉😉
Samahani mkuu, nimeichukua kwa matumizi ya baadaeNi haki yake. Haya mambo ni kila mtu na lwake...
![]()
Alikuwa anamjibu mwingine alieanzisha uzi km huu.Mkuu sijakupata
jamani jamaniKwhy ndio umeamua kumchukua Carba?
Hahahah mkuu unatupa jiwe gizani. Bado hatujajijua aisee hadi ututaje kwa majina hahahaWanajijua
Mhusika mkuu katika riwaya za Marehemu Ben R. Mtobwa
Duhh!!!!! Sawa...Kila mtu na mapenzi yake mkuu
Pa kushikiria pawepo...Kipenda roho.....
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Mzee wa liver kasema unitumie pesa laki moja tu kwenye namba yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu Yego habari ya hukoKauli thabiti kutoka kwa Mheshimiwa Mwenyekiti! [emoji3][emoji3]