Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shida yake ni moja hakuna wa kuiongoza Korea kwa sasa..wametawala kwa kupokezana familia..huwezi kufanya Korea kama Libya au iraq. Ukiondoa kichaa lazima ujue atakaa mzima sio kichaa tena..Korea shida ingine wao sio malti-kalcha..wako kivyao..
Nakubaliana na wewe mkuu lakini kwenye masuala ya kivita Siku hizi ni technology ina mata let's wait
I'm betting kwa mwenye hi tech
 
Yaani nawaza kwa hisia hata madude yangekuwa yana hiti nchi zetu hizi za kiafrika na masikini sijui ingekuwaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…