Shida yake ni moja hakuna wa kuiongoza Korea kwa sasa..wametawala kwa kupokezana familia..huwezi kufanya Korea kama Libya au iraq. Ukiondoa kichaa lazima ujue atakaa mzima sio kichaa tena..Korea shida ingine wao sio malti-kalcha..wako kivyao..Muda ukifika katapigwa tu
Hata mimi sielewi mkuu. But again kila mtu na lwake....Dah! nani huyo? Yeye wale waliopigwa pasi ndiyo wenye mvuto kwake! Ama kweli dunia hadaa.....
Igana limo na ikumi na imo
Magana bili na makumya bili ni bili