Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ooooh boy !!!
Wamerikani wanayo kama Russia..ila wana siri kubwa ya kujilinda..Wamarekani wamezembea nini?
Na kwako piaUsiku uwe mwema kwenu
Hana shida ya ulezi. Kila kitu bure. Hata kama ningekuwa mimi ningefyatua tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Du jamaa ana hasira anafyatua tu
Anachelewesha mpango na wakati viv anataka mama harakaUmevunja? Imekuwaje tena , kakuletea wake za watu au alikuwa na mpango wa kujitwalia hiyo nafasi mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe toa malikes mengi mengi kwa wenzio !!!Malikes nayataka mengimengi
Lexus Mayai
Huku heri tu, mida hii nipo hapa New Zahir Restaurant Moscow street, napata kikombe chai . kumbuka mitaa yako hii mkuuMimi sijambo jirani. Vipi kheri huko?
YapAcha walalamike tu. Tunataka tuone mtananga wa ukweli kwa mafahari wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu. nguvu ya utawala iko kama nguvu ya msambwada!! Ni nguvu kubwa..wanaweza kumaliza dunia Mara kumi na...Binadamu bwana. Yote haya for what? Ni nini kinachogombewa? Kasayari kenyewe haka haka kamoja. Hebu tuka-nuke kote halafu tuone itakavyokuwa. Pathetic !!!
Muda ukifika katapigwa tuCIA, MOSSAD na M16 kama kweli wana ubavu, inabidi wakanyutrolaizi haka kamajaa aisee vinginevyo tunakoelekea ni kubaya !!!
Hahahha