Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aliulizwa iwapo ana mipango ya kurudi kumtafuta Mfaransa huyo wa kimataifa, Wenger amesema : ''Ndio. Kwa maoni yangu ni mchezaji wa kiwango cha juu.''
Pia aliulizwa iwapo alitaka kumsajili mshambuliaji wa Ufaransa Kylian Mbappe, aliyejiunga na Paris St. Germain kwa mkopo na uhamisho wa kudumu wa euro milioni 180 (£165.7m) unaotarajiwa kukamilika msimu ujao.
 
Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani akapiga simu kwenye radio station

"Naitwa John nimepiga simu kutangaza kuwa nimeokota wallet ndani ina laki 7, ATM Card na kikaratasi chenye PIN ya ATM Card na kijimkufu cha dhahabu kinene hivi…"

Mtangazaji akasema:- Akhasante sana John, kwa hiyo ungependa kumrudishia mwenyewe kama ana kusikiliza akutafute kwa No. Gani!?

John: Hapana, mi nilikuwa namshukuru tu maana amenitoa kwenye matatizo na ninapenda kumuombea Dedication wimbo wa Snura "MAJANGA" umfikie popote pale alipo…!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
39552709_401.png
Wamarekani wamezembea nini?
 
Wenger aliulizwa maswali mengi ambayo alijibu ''ndio'' au ''la''
Je, unaweza kuwa mkufunzi kwa klabu nyengine?
Wenger: Ndio.
Je , umefanya mazungumzo na PSG?
Wenger: Ndio
Ungepewa fursa, unaweza kubadilisha vikombe vyote ulivyovishinda, upewe angalau kikombe kimoja cha Ligi ya Klabu Bingwa Ulaya?
Wenger: La
 
Mwanamuziki Lil Wayne amekimbizwa hospitalini baada ya kuanguka kutokana na kifafa na kupatikana akiwa hana wafahamu katika chumba cha hoteli alimokuwa huko Chicago.
Mtandao wa wasanii wa TMZ umesema mwanamuziki huyo wa nyimbo za kufoka, 34, anayeugua ugonjwa wa kifafa, ameangushwa na ugonjwa huo mara kadhaa na alipoteza fahamu pindi tu alipowasili huko A&E.
 
Back
Top Bottom