moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Cole Wiliam habari ya kwako kiongoziNzuri sanaa itakufaa
CANTSTOPWONSTOP
[emoji41] [emoji41] [emoji23]Sawa DJ
Mkuu numbisa niaje habari za hapo jiji la miamba.Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea…
Naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya
….nikamwambia_ ..KATA KUSHOTO
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mad over me oohhh nimekosea ni
Mad over you
But not you[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mbagala kwema ndugu yangu. Tukuyu mnasemaje? Baba yetu anaendeleaje?Shemeji habari ya Mbagala
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyu numbisa ana bahati sana. Angekuwa mchizi mwingine angekata kulia! [emoji3][emoji3]
Yegomasika, habari yako jirani wa utotoniHuyu numbisa ana bahati sana. Angekuwa mchizi mwingine angekata kulia! [emoji3][emoji3]
InawezekanaMwanaume aliyepoteza imani kwa wanawake atarudisha imani kwa wanawake kupitia mwanamke
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji115] [emoji115] [emoji173][emoji41] [emoji41] [emoji23]![]()
Salama moud... za kwako?
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Upendo unaanza na tabasamu na unaisha na machozi ya uchungu[emoji16]