Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Alitarajiwa kuwatumbuiza mashabiki wake huko Las Vegas siku ya Jumapili usiku.
Nyota huyo, ambaye kwa jina lake rasmi Dwayne Michael CarterJr, alipokea matibabu mwaka uliopita baada ya kupoteza fahamu mara mbili lakini kwa kiasi kidogo.
Miaka minne iliyopita Lil Wayne alikuwa akipokea matibabu kwa siku kadhaa katika hospitali moja huko Los Angeles.
 
Baada ya kupata fahamu, mwanamuziki huyo aliambia kituo cha redio cha Power 106 kwamba anaugua ugonjwa wa kifafa na yuko katika hatari za kukosa fahamu mara kadhaa.
Alimwambia DJ Felli Fel: ''Hiyo haikuwa mara yake ya kwanza, pili, tatu, nne , tano, sita au saba … nimepatwa na kifafa mara kadhaa, ni vile huwa hampati habari hizo.''
 
Lil Wayne amesema hupoteza fahamu baada yakupatwa na msongo wa kiakili, kutopumzika na kufanya kazi kupita kiasi.
Mashabiki waliokuwa na wasiwasi wamekuwa wakituma ujumbe kwenye mtandao wa Twitter kupitia [HASHTAG]#prayforweezy[/HASHTAG] baada ya kisa cha mwanamuziki huyo kuripotiwa.
 
00428189.jpg
Binadamu bwana. Yote haya for what? Ni nini kinachogombewa? Kasayari kenyewe haka haka kamoja. Hebu tuka-nuke kote halafu tuone itakavyokuwa. Pathetic !!!
 
Back
Top Bottom