Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzaliwa huyo wa New Orleans, alianza taaluma hiyo akiwa na umri wa miaka 9, alipokuwa msanii mdogo kusajiliwa na rekodi ya Cash Money.
Tuzo zake tano bora za Grammy zinajumuisha tuzo ya albamu bora ya nyimbo za rap mwaka 2008 kwa albamu yake ya Tha Carter III na utumbuizaji bora wa rap kwa wimbo wake wa No Problem akiwa na Chance the Rapper & 2 Chainz.
 
Wanajeshi wa Ubelgiji wanamtafuta rubani wa helikopta ya jeshi ambaye alianguka kutoka kwa ndege hiyo wakati wa maonesho ya ndege za kivita.
Wanajeshi watatu waliruka kutoka kwa helikopta hiyo aina ya Agusta A-109 wakiwa na parachuti, lakini rubani huyo na msaidizi wake hawakuwa na parachuti, vyombo vya habari Ubelgiji vimeripoti.
 
b1-triplett-kalcolor-guide.jpg
CIA, MOSSAD na M16 kama kweli wana ubavu, inabidi wakanyutrolaizi haka kamajaa aisee vinginevyo tunakoelekea ni kubaya !!!
 
Alichukua usukani na kuanza kuiongoza ndege.
Maonesho hayo yalikuwa yakifanyika katika eneo la Amay, karibu na mji wa Liège.
Rubani huyo alianguka mita mia kadha kutoka angani.
Sababu ya rubani huyo kuanguka bado haijulikani.
 
Back
Top Bottom