Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,654
salama kiongozi
salama kiongozi
HahahaUmevunja? Imekuwaje tena , kakuletea wake za watu au alikuwa na mpango wa kujitwalia hiyo nafasi mwenyewe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Then what next?Muda ukifika katapigwa tu
Gonga likes upate likesMalikes nayataka mengimengi
Lexus Mayai
HahahahahaHana shida ya ulezi. Kila kitu bure. Hata kama ningekuwa mimi ningefyatua tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huku heri tu, mida hii nipo hapa New Zahir Restaurant Moscow street, napata kikombe chai . kumbuka mitaa yako hii mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nzuri mkuu karibu