mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Vuta kama sigara 40/kwa siku
Vuta kama sigara 40/kwa siku
Ni mwendo wa kuvuna maparachichi,mafyulisi na mapohola. Nataka nikiingia Daslam niwe na sababu ya kutosha kukaa huko. Mengine yote Mungu yu pamoja nami,hajaniacha mpweke. Hope you're doing well brother...Mbagala kwema ndugu yangu. Tukuyu mnasemaje? Baba yetu anaendeleaje?
LikesLikes
Hawako nyuma kwenye masuala ya kuwaiga weupe.Wabongo nawakubali kwa hili
Ukipata na jibapa mbili tatu unapita kasi bila shidaKuendesha kwenye hii kitu kunatakiwa maarifa kidogo ....
![]()