Ukinifungia chumbani na huyu endapo kuna ndizi mbivu utalazimika kuniongezea ndizi tu.
Jamaa mbunifu sanaKikosi cha Kisasi
Njama
Hujuma
Kikomo
......
Willy Gamba James Bond cha mtoto...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkimbizi by
hahahahahaNdioo na magadi pia unayafahamu? au ndo wakishua[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mtuhimiwa by
Yap mkuu jamaa alikuwa na bonge la ubunifuHuyu ni Ben Kiko nikiripoti kutoka Radio Tanzania Shinyanga....RIP
Mtangazaji bora kabisa !!!
[emoji41] [emoji41] [emoji41]Samahani mkuu, nimeichukua kwa matumizi ya baadae