Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

050a80982d8bab3ed17e52d266356294.jpg
[emoji817] [emoji817]
 
Nakubaliana nawe Mkuu lakini si unajua mapenzi ni kama ugonjwa yakikupata ni vigumu sana kuyakimbia, acha tungangamare kwanza kumtoa msaliti Wenger kisha kuhakikisha timu inarudi katika heshima yake ya miaka ya nyuma.
Hahahhaa sio msaliti sema kila jambo lina wakati wake na majira yake wakati wake wa kuondoka umefika
 
Back
Top Bottom